Free Web Hosting by Netfirms
Web Hosting by Netfirms | Free Domain Names by Netfirms


Nyimbo Online


 



Mtume D. Maboya Upako huangusha au husimamisha?

 

Linakukera? Liseme.


Mchungaji James Maina Ng'ang'a aitikisa Mombasa

Makala
Mch. Ngwejela

 

Nyakati Gazeti huru la Kikristo kila wiki. Hatuogopi matisho ya CCM. Wanaoigopa CCM ole wao, Wasifikiri wataepuka upanga wa CCM. Heri wanaokufa wakiwa tayari wamewapasha CCM ukweli wao. Kwamba wao ni wezi tena ni chama cha majambazi.


sms Messages


Gazeti la Nyakati
Kwenye Internet

http://nyakati.netfirms.com

Tel. 254722602445 E-mail:
munishifaustin@yahoo.com

Askofu Kakobe msiyemjua


Askofu Zakaria Kakobe wa kanisa la Full Gospel Dar

Ratiba za ibada makanisani
Ratiba za Ibada makanisani Afrika ya mashariki na kati pia ulimwenguni kote.
Tuma utaratibu wa ibada za kanisa lako pamoja na picha kwa mhariri munishifaustin@yahoo.com nasi tutaiweka kwenye mtandao isomwe duniani kote. Huduma hii ni bure kabisa na usidanganywe na yeyote ulipe chochote. Bonyeza hapa

Tangaza Biashara yako Bure
Tuma picha na maelezo kwa munishi@munishi.com

http://munishi.com FREE!
Send a photo and information to munishi@munishi.com



Mchungaji Ramsey J. Ngwejela Mwandishi maarufu wa makala Nyakati
Makala zake zimewavutia wengi katika gazeti la Nyakati. Wengi hununua Nyakati ili wasome makala zake. Ni mwandishi wa kujitolea, na pesa zote wanapata Nyakati. Wanamwambia atalipwa mbinguni, ma wao wanazipokea hapa duniani. Ukiguswa kuisaidia huduma ya Mchungaji huyu, wasiliana naye kwa anwani hii. S.L.P. 10130 Dar. Simu 255-744-771016 E-mail huyanewo@hotmail.com

Censorship turning systematic in Tanzania

Gospel singer Faustin Munishi Mkapa banned his Gospel cassette
Maisha yangu hatarini-Asema mhariri

Mr. ADOLD VICTOR Mhariri wa gazeti la Nyakati litolewalo kila Jumapili TZ.

Mr. ADOLD VICTOR Mhariri wa gazeti la Nyakati litolewalo kila Jumapili Tanzania Analalamika kwamba maisha yake yako hatarini.Akiongea na http://nyakati.netfirms.com Bwana Victor alisema kwamba serikali Tanzania imekuwa ikimfuatilia kuhusiana na habari zilizoandikwa hapa. Alikana kuhusika kwa njia yeyote na yaliyoandikwa hapa. Kwa sauti ya mawimbi, alisikika muoga kwenye simu kana kwamba waliokuwa wakimtishia maisha walikuwa naye wakati huo. Hayo ndiyo maisha ya waandishi habari Tanzania kila siku. Aliwaelekeza wanaomsumbua katika web site ya http://munishi.com wakajisomee wenyewe. Pia alisema kwamba ataandika katika ukurasa wa Maoni ya mhariri kumkana Munishi na makala zake za kuikosoa CCM. Habari zaidi

Mhariri wa gazeti la Nyakati akimkaribisha Kakobe kwenye ofisi za gazeti hilo Dar. Ikiwa mbele ya Kakobe anaonyesha woga jinsi hiyo je akifuatwa na kikosi cha siri cha CCM itakuwaje?

Hoja moto kwenye mjadala wetu leo.
CCM Yafananishwa na JEHANAMU Tanzania

CCM Wengine wanakiita Chama Cha Majambazi.
CCM imeleta Jehanamu Tanzania. Watanzania watakaoingia Jehanamu, Itabidi Mungu awapunguzie ukali wa moto kwani tayari wameungua vya kutosha chini ya utawala dhalimu wa CCM. CCM ni wanyanganyi. Walianza kuwanyanyanya wananchi mali zao wakitumia azimio la Arusha, na sasa Mkapa anatunyanganya mali akitumia ukusanyaji wa kodi. Anatumia TIN kama nambari 666 ya mpinga Kristo kutunyanganya mali zetu. Je Roho ya mpinga Kristo inafanya kazi ndani ya CCM? Kila dalili zinaonyesha hivyo.


Mkuu wa chuo IDM apania kuufufua "Unyerere"

Mkuu wa chuo kikuu cha IDM Mzumbe amepania kufufua sera za Nyerere zinazoelekea kufa Tanzania. Habari Zaidi........

Mkapa Anatuibia Kiutandawizi?

Askofu Selvester Thadey amempongeza Rais Mkapa na kuwataka watanzania wawe na maombi ya kufunga na kuomba ili Mungu awape kiongozi na wala siyo mtawala. Alimtaja Mkapa anayemaliza muda wake 2005, Kama kiongozi aliyepambana na misukosuko mingi hasa ukitilia maanani kwamba Baba wa taifa Mwalimu Nyerere aliaga dunia wakati anaanza kipindi chake cha utawala. Habari Zaidi......

Injili inalinda maslahi ya Mungu duniani

Mwinjilisti na mwimbaji wa nyimbo za Injili Faustin Munishi

Injili inalinda maslahi ya Mungu duniani. Watu dunia na vyote vilivyoko ni mali ya Mungu. Hatuwezi kunyamaza wakati Mkapa na kundi lake wanapowaua waislamu zaidi ya 70 huko Zanzibar kwa sababu za kisiasa. Hata kama waliouawa siyo wakristo, lakini ni watu wa Mungu. Tukilinyamazia kesho itakuwa zamu yetu kuuawa. Hatuna nia kujiunga kwenye siasa, lakini wanasiasa wanapoyaingilia maslahi ya Mungu, chombo pekee kukemea hayo ni INJILI. Tunapowakemea wanasiasa, ndiyo tunaihubiri Injili. Tunaponyamaza ndiyo tumechanganya siasa na dini. Kwa hiyo sisi tunaokemea maovu yatendwayo na Mkapa, ndio tunaoihubiri Injili. Wale wanaowaunga Mkono kina Mkapa na kikosi chake cha mauaji ndio tunaotakiwa kuwaambia waachane na siasa kwani itawatoa katika kweli. Nasikitika kusema kwamba tayari wameshatoka katika kweli. Kwa hiyo siwezi kuacha kuyakemea maovu wanasiasa wayatendeayo jamii. Nikifanya hivyo nitakuwa nimekoma kuihubiri Injili.Habari zaidi

Rais wa 4 Tanzania lazima awe raia" Faustin Munishi

Rais wa 4 Tanzania lazima awe raia" Faustin Munishi

Maoni yako

Nchi yetu Tanzania inatawaliwa na Mkapa ambaye taaluma yake ni uandishi wa habari, Lakini tunasikitika kusema kwamba Tanzania hakuna uhuru wa kutoa mawazo. Waandishi tunatishwa na vyombo vya dola tusiseme mambo yalivyo. Tumeamua liwalo na liwe. Tutasema tu.

 

Study The Bible

Passage (eg. John 3:16):

Search word(s) (eg. saved):



 

Nyakati Tel. 254722602445 Nairobi Kenya East Africa
E-mail: munishifaustin@yahoo.com
Check mail at Hotmail

 

Check Mail at Yahoo